19 Machi 2011 - 20:30

Kuthibitisha kuwa Mubaraka alikuwa anafahamu matukio yote kwa kuonyeshwa CD yenye matukio ya maenio yote ya Misri katika kipindi cha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo.

Ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul Bayt-ABNA:“Amiri salim” mmoja miungoni mwa mawakili wa wafiwa wa mapinduzi ya Misri ameonyesha CD inayo thibitisha kuwa kipindi chote cha maandamano maeneo yote ya Misri yalikuwa chini ya uthibiti(contro) wa serikali hiyo kwa kutumia kamera za ulinzi, kamera hizo zilikuwa katika viumba 3 katika wizara ya nchi hiyo katika jingo la mawasiliano na ulinzi wa nchi hiyo pia na jengo la ikulo ya mubarakaKwa maneno ya wakili huyo na kuonyesha ushahidi huo mahakamani hapo, kulivunja madai ya Husni Mubaraka kuwa hakuwa na habari zozote kunako mauaji ya Polisi kwa raiya. Amir Salim aliakikishia mahakama kuwa CD hiyo inathibitisha kuwa Mubaraka alikifahamu mwanzo mpaka mwisho wa matukio yote nae ndie mtuhumiwa wa kwanza wa mauaji ya jishi la ulinzi kwa kuua wananchi wa nchi hiyo.